Naomba kufahamu ni maeneo gani ambayo hayana uswahili mwingi wizi mwingi sehemu tulivu kwako wewe na Mali zako Kwa dar

Usalama Dar?
1.Usikae mbali na Ikulu (Usizidi Kilometa 2 toka Magogoni-Usivuke Barabara ya UN
2.Usikae mbali na Kambi za jeshi
3.Kama Una Nyumba wekeza Kwa Security companies ulindwe kama wakazi wa Oyster bay,Masaki,Msasani,Mbezi beach Hadi Mbweni.
Mahali pa biashara:Karikaoo,Mwenge,

Makazi tulivu:Namba 1 Hadi 3 hapo Juu.

Alternatively Anzia huko ulipo ukiwa na Pesa Nenda Dar Fungua biashara CBD kisha kaa # 1 Hadi 3 hapo Juu.
 
Hakuna maisha rahisi,ni lazima upambane ili kutoboa.
Na huo ndio ukweli kama huna mishe za uhakika ni heri kupambana na fursa zilizopo eneo uliopo Dar maisha ni gharama sana inahitaji uwe na chanzo cha uhakika cha pesa
 
Hivi mbagala kuna sehemu hamna uswahili?
Anyway hata hivyo Tz hamna sehemu isiyo na uswahili labda kama hawa ishi watz hapo.
Kuna sehemu nyingi tu huwa hazina uswahili, kwa Tz mara nyingi hiyo kasumba huwepo maeneo ambayo hayajapangiliwa vizuri kimakazi au sehemu uliyojaa watu wenye kipato cha daraja la chini.
 
Mbagala, Kiwalani, Vingunguti au Manzese ni sehemu ziko poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…