Naomba kufahamu njia za kupata pesa mtandaoni

sinder

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
16
Reaction score
2
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
 
Tengeneza huduma yoyote ya kuuza mtandaoni utapata pesa tu mkuu.
 
Et ukitngenza app unweza lipwa
Waza kwa kina mkuu; sio lazima uuze app; yapo mengi ya kuuza; mimi mwanzoni nilikuwa mteja kwanza ... baada ya kuwa mteja ... alokuwa akichukua hela zangu alinihurumia akanielekeza namna ya kuanza kupata pesa kama yeye. Hadi leo; nafaidika na huduma mbali mbali mtandaoni.
 
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
Sinder..jifunze Forex kama una muda na uko serious.
Uta make hela za kukutosha tu in long run.
 
Hiyo nForex inahitaji mtaji mkubwa sana; tuelekezane yale yanayowezekana kwa mitaji midogo laki moja hadi milioni moja.
 
Forx unafany nielekze
Unabadilisha fedha za kigeni mtandaoni.
Watafute Darforex au Forex money industry,Rfx hawa jamaa wana shule kabisa na wanafundisha.Hope ntakuwa nmekusaidia kwa kiasi.Chukua hatua.
 
Hiyo nForex inahitaji mtaji mkubwa sana; tuelekezane yale yanayowezekana kwa mitaji midogo laki moja hadi milioni moja.
Mtaji mkubwa sawa kama umeshajua nini unakifanya,for the beginner you need dola 100 atleast..to make something worthy yo time.
Japokuwa unaweza anaza hata na tsh.10,000/=.
 
Elfu kumi nielewesh nianze

Elfu kumi???? Bro ebu nyoosha maelezo! something is better than nothing
 
Elfu kumi nielewesh nianze
Kigezo kikuu cha ww kuweza kuingia katika soko la dunia la kubadilisha fedha,yaani forex ni uwe na mtaji kwenye account yako ambayo unakuwa umeifungua kwa broker ambaye kupitia yeye ndio unaweza access soko hili.Sasa kila broker ana gharama zake kulingana na policies zake.Yupo broker kama Templerfx yeye anaruhuru u-deposit kiasi chochote ndio maana nkakwambia hata shilingi 10,000/= unaweza anza nayo na ukafanya FOREX.
Angalizo: Inakuhitaji kwanza ujifunze na ufahamu inabyofanyika vinginevyo utakuwa utakuwa unatengeneza hasara kila siku,kumbuka kama ilivyo katika biashara yoyote ile inakuhitaji uwe na ujuzi na ufahamu wa biashara husika.FOREX ni biashara rahisi sana na yenye pesa za nje nje "Kuzivuna" lakini inakuhitaji ujifunze kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…