Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waza kwa kina mkuu; sio lazima uuze app; yapo mengi ya kuuza; mimi mwanzoni nilikuwa mteja kwanza ... baada ya kuwa mteja ... alokuwa akichukua hela zangu alinihurumia akanielekeza namna ya kuanza kupata pesa kama yeye. Hadi leo; nafaidika na huduma mbali mbali mtandaoni.Et ukitngenza app unweza lipwa
Dah we jamaa wewe Mungu anakuona..sio poa[emoji2]halafu ziwe zinatoka kwenye printer?
Sinder..jifunze Forex kama una muda na uko serious.Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
Duh! ama kwel umevurugwahalafu ziwe zinatoka kwenye printer?
forexHabar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
Unabadilisha fedha za kigeni mtandaoni.Forx unafany nielekze
Mtaji mkubwa sawa kama umeshajua nini unakifanya,for the beginner you need dola 100 atleast..to make something worthy yo time.Hiyo nForex inahitaji mtaji mkubwa sana; tuelekezane yale yanayowezekana kwa mitaji midogo laki moja hadi milioni moja.
Elfu kumi???? Bro ebu nyoosha maelezo! something is better than nothingMtaji mkubwa sawa kama umeshajua nini unakifanya,for the beginner you need dola 100 atleast..to make something worthy yo time.
Japokuwa unaweza anaza hata na tsh.10,000/=.
Kigezo kikuu cha ww kuweza kuingia katika soko la dunia la kubadilisha fedha,yaani forex ni uwe na mtaji kwenye account yako ambayo unakuwa umeifungua kwa broker ambaye kupitia yeye ndio unaweza access soko hili.Sasa kila broker ana gharama zake kulingana na policies zake.Yupo broker kama Templerfx yeye anaruhuru u-deposit kiasi chochote ndio maana nkakwambia hata shilingi 10,000/= unaweza anza nayo na ukafanya FOREX.Elfu kumi nielewesh nianze