Sienta inatumia CVT-TC made by Toyota (ukitoa ile deep stick ya kwenye gear box utakuta umeandikiwa use CVT-TC only, sasa ukijichanhanya ukaweka sijui ATF kwisha habari yako.
Pia kuhusu injini kua na idle speed ya juu wakati injin inapokua ya baridi ni kawaida. Inafanya hivo ili injini iwahi kupata its operating temperature, ikifika tu utaona idle speed inapungua to normal speed (600 to 650 RPM).