Hahaha hakuoa mzungu mkewe ni mtanzania ila ni mixer na bado yupo mkewe na kwa taarifa za hivi karibuni mkewe amejifungua mtoto wa kike hivyo wana watoto 3 na mkewe mwanaume 1 na wanawake 2 na kama huamini nenda instagram na facebook utaona picha mpya ya mtoto wa 3 wa solo thang
Wastara alikuwa mke wa mume wake wa 2 alipochepuka na kutembea na solo thang na ndipo msanii huyo alipokuja kujua kama mke wa mtu akaamua kukimbia maana mke wa mtu sumu
Jamani...kuna Wastara Juma...kuna Stara Thomas....wabongo kwa kuchanganya mambo hamjambo...ndio maana wanasiasa wenu wameshachoka na akili zenu wanawaibia tu.
Mpenzi wastara juma yule aliyefiwa na mumewe ajulikanae kwa jina la sajuki ndio aliyezaa na solo huyo wastara ñi wale wale alizaa mtoto wake 1 kwa mwanaume mwingine akachwa akaenda kwa mwanaume 2 ambaye alishajitokeza akasema amezaa na wastara mtoto wa kiume mtoto ambaye wastara anasema wa solo thang na mtoto 3 ndio wa sajuki huyo mtoto anababa 2 mmoja ambaye wakati huo alikuwa mumewe wa ndoa na akachepuka na kutembea na solo thang makubwa ya mjini hayo yafunike yapite