Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Jamani nataka kujua Solo alizaa na nani mtoto wake.Maana nimekuta mahojiano yameanza tayari ktk kipindi cha Planet bongo.Nataka jua please.
 
165688_10150399192630347_821795346_17345172_7754089_n%255B1%255D.jpg
 
Huyu mkongwe alizamia ughaibuni na akaowa muthungu kama ilivyosemekana,
Hao watoto juu watakuwa ndo wa muthungu.

Ila yupo mjane mmoja bongo ambaye pia kwenye familia yake
jamaa alipatapo mtoto mmoja.

Ngoja tuendelee kutiririka.
 
Asante mamndenyi,
Warumi njo huku utujuze huyu mtoto wa bongo Solo alizaa na nani? kamekua katoto kenyewe.
 
wastara ana mtoto mkubwa alizaa naye zaman,aliwahi kumuonyesha Insta
 
Hahaha hakuoa mzungu mkewe ni mtanzania ila ni mixer na bado yupo mkewe na kwa taarifa za hivi karibuni mkewe amejifungua mtoto wa kike hivyo wana watoto 3 na mkewe mwanaume 1 na wanawake 2 na kama huamini nenda instagram na facebook utaona picha mpya ya mtoto wa 3 wa solo thang
 
Wastara alikuwa mke wa mume wake wa 2 alipochepuka na kutembea na solo thang na ndipo msanii huyo alipokuja kujua kama mke wa mtu akaamua kukimbia maana mke wa mtu sumu
 
Jamani...kuna Wastara Juma...kuna Stara Thomas....wabongo kwa kuchanganya mambo hamjambo...ndio maana wanasiasa wenu wameshachoka na akili zenu wanawaibia tu.
 
Huyo wa katikakati amezaa na marehemu Aisha Madinda!
 
Mpenzi wastara juma yule aliyefiwa na mumewe ajulikanae kwa jina la sajuki ndio aliyezaa na solo huyo wastara ñi wale wale alizaa mtoto wake 1 kwa mwanaume mwingine akachwa akaenda kwa mwanaume 2 ambaye alishajitokeza akasema amezaa na wastara mtoto wa kiume mtoto ambaye wastara anasema wa solo thang na mtoto 3 ndio wa sajuki huyo mtoto anababa 2 mmoja ambaye wakati huo alikuwa mumewe wa ndoa na akachepuka na kutembea na solo thang makubwa ya mjini hayo yafunike yapite
 
Solo thang hawezi kumuacha mkewe na kumkimbilia mwanamke ambaye hakuwa muwazi ila madhal kaambiwa mtoto wake haya
 
Back
Top Bottom