Jamani nataka kujua Solo alizaa na nani mtoto wake.Maana nimekuta mahojiano yameanza tayari ktk kipindi cha Planet bongo.Nataka jua please.
Mpenzi wastara juma yule aliyefiwa na mumewe ajulikanae kwa jina la sajuki ndio aliyezaa na solo huyo wastara ñi wale wale alizaa mtoto wake 1 kwa mwanaume mwingine akachwa akaenda kwa mwanaume 2 ambaye alishajitokeza akasema amezaa na wastara mtoto wa kiume mtoto ambaye wastara anasema wa solo thang na mtoto 3 ndio wa sajuki huyo mtoto anababa 2 mmoja ambaye wakati huo alikuwa mumewe wa ndoa na akachepuka na kutembea na solo thang makubwa ya mjini hayo yafunike yapite
Jamani nataka kujua Solo alizaa na nani mtoto wake.Maana nimekuta mahojiano yameanza tayari ktk kipindi cha Planet bongo.Nataka jua please.
una kishamlani, ushambenga, upashkuna, hasidi na mwisho kabisa una wivu wa kwapa kunuka bila kidonda.
Haya maneno yanatoka kwa me au ke?
alipomtafuna lady jd ndipo gardner alipoanza kumfitini clouds fm
Haya maneno yanatoka kwa me au ke?
. wanawake wa mjini wapo fasta sana isije ikawa kabambakiziwa mtoto kwa kuwa yupo ulaya isije akawa katumiwa kijini cha kujikuta anamkubali mtoto