Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

Wadada heshimuni ndoa zenu kwani yasije yakawakuta ya wastara wanasemwa wanaume tuu kuchepuka hata wanawake wanachepuka na kuumbuka na mimba zisizo na baba wa halal
 
Jamani nataka kujua Solo alizaa na nani mtoto wake.Maana nimekuta mahojiano yameanza tayari ktk kipindi cha Planet bongo.Nataka jua please.

Mambo ya solo thang yanakuhusu nini??
 
Mpenzi wastara juma yule aliyefiwa na mumewe ajulikanae kwa jina la sajuki ndio aliyezaa na solo huyo wastara ñi wale wale alizaa mtoto wake 1 kwa mwanaume mwingine akachwa akaenda kwa mwanaume 2 ambaye alishajitokeza akasema amezaa na wastara mtoto wa kiume mtoto ambaye wastara anasema wa solo thang na mtoto 3 ndio wa sajuki huyo mtoto anababa 2 mmoja ambaye wakati huo alikuwa mumewe wa ndoa na akachepuka na kutembea na solo thang makubwa ya mjini hayo yafunike yapite

Hujaeleweka mwaya
 
Jamani nataka kujua Solo alizaa na nani mtoto wake.Maana nimekuta mahojiano yameanza tayari ktk kipindi cha Planet bongo.Nataka jua please.


una kishamlani, ushambenga, upashkuna, hasidi na mwisho kabisa una wivu wa kwapa kunuka bila kidonda.
 
alipomtafuna lady jd ndipo gardner alipoanza kumfitini clouds fm
 
Eehh hayaaa tupe newz vizuri mbona unatubania jide nae alipitiwa wasanii balaa sana haya majina yao yanawaletea matatizo au ndio mambo ya Nyota
 
Yalivyoandikwa toka mwanzo hukuona umejibiwa unauliza yanahusu nini mwanaume anaweza lala na wanawake 10 akaonekana rijali ila mwanamke ukalala wa wanaume 2 wakati mmoja wee ni kicheche tuu
 
. Kwa sasa Solo Thang AKA Traveller AKA Msafiri anaishi Uingereza akiwa ameoa na mtoto mmoja anayeitwa YASSIR na Mama yake anaitwa YASMIN.nimeipenda sana hii artical ya solo thang ipo google kwa wale wakereketwa wa solo thang tumefatia kwa kina na kugundua 2007 alihojiwa na bongo 5 hakumtaja huyo mtoto wa wastara kwa kuwa alikuwa hajajua kama ni mwanae amesema anamtoto 1 yassir wanawake wa mjini wapo fasta sana isije ikawa kabambakiziwa mtoto kwa kuwa yupo ulaya isije akawa katumiwa kijini cha kujikuta anamkubali mtoto
 
Aiseeeeeeeeeeeeeee watu wanahabari mpaka naogopa
 
Back
Top Bottom