Naomba kufahamu suala hili kuhusu watumiaji wa X zamani Twitter

Naomba kufahamu suala hili kuhusu watumiaji wa X zamani Twitter

Bravo247

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
119
Reaction score
263
NImekuwa nikiona watu wengi wakipost picha halafu wanaandika caption video iko kwenye comment.

Ni kwanini hawataki kupost video moja kwa moja kwenye post?

Kwangu mimi naona ni usumbufu tu na nikiona post ya hivo huwa naachana nayo.
 
Back
Top Bottom