Naomba kufahamu tabia za wanawake wa Kiethiopia

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?
Ngoja nikueleze kwa ufupi japo sijawahi kuwa na mpenzi wa kiethiopia ila nimewahi kuwa nao karibu kwenye mambo ya harakati.
Cha kwanza hao watu wa ethiopia wana kaupole fulani hivi usoni na sio watu wa kuropokaropoka hovyo halafu kichwani wako smart mno yaani smart kupitiliza brain zao zinafanya kazi kwa spidi sana sasa hali hii inasababisha wengi wao kuwa matapeli na utapeli wao ni wa strategy yaani wakati anafanya planning akutapeli ni ngumu sana kugundua kama wewe sio genius.
Sasa kama unajijua una kichwa kizito kaa nao mbali utakuja kupigwa bonge la tukio ambalo hutaweza kujinasua,ila kama unajiona kichwani uko smart(intelligent) endelea naye ila uwe mtu wa tahadhari.
Yaani fikiria Wakenya walivyo wakora ila kwa Waethiopia wamenyoosha mikono na wenyewe huwa wanalizwa tena kiulaini kabisa.
Nishakuwekea code hizo kazi ni kwako uchague kusuka au kunyoa
 
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?
Ni warembo na wako sexy. Personality inategemea ulipowakuta. Ukiwakuta Nairobi ni bidhaa premium, uwe na dau kubwa kuwahonga as opposed na Wabantu.

Ukiwakuta Ethiopia utajipigia kwa mafungu kama tunavyopiga Wambulu Ngarenaro. Yaani ukitongoza mmoja unakula na rafiki au ndugu zake
 
Wa Et sio waaminifu na pia anaweza kukukimbia muda wowote akiona fursa.
Wao kugawa nyama kwa mtu mwingine haoni tabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…