Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Huwa inakuja kama instinct fulani tu,na naamini hakungalia upole tu,kuna muunganiko wa vitu vingi ambavyo vingi hawezi kuvielezea lakini upole ndo ikawa rahisi kuuelezea.Mfano kama umeishi na wasukuma kwa muda fulani..ikitokea labda umeenda kwenye jamii ya wangoni,ukiona mtu anayeendana na wasukuma ,kuna hisia itakwambia kabisa huyu anaweza kuwa msukuma.Ukiulizwa kwa nini unaweza jibu ni kwa sababu ya urefu,japo kuna vitu vingi zaidi ya urefu vilivyokupa fikra kuwa huwa huyo mtu ni msukuma.
 
Off course sisi wanyakyusa ni wapole.
That's y humu jf sijawahi kula ban hata moja [emoji23][emoji23]
 
Hahaha accent ya kisukuma ndio maana ulikataa lile wazo letu la YouTube?
Sina accent ya kisukuma Bali ya kiarusha kiasi. Nina sauti mbaya tu nikiisikia najisikia kuzimia
Sema kawaida tu watu kukuchanganya kabila, huwa nakutana na hiyo kitu watu kudhani mimi ni muhaya wakat ni wa iringa sielewagi
Kabila langu hua ni siri yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ