Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Weusi
Uso mpana kidogo unaoenda na mwili tough kidogo
Urefu wa kati
Moyo wa huruma na kusaidia watu wenye uhitaji ni wepesi
Shangwe(ucheshi)na Kila mtu ila Kaz kupeana ni kiundugu kias (wachaga wametuzidi hapa)
Uongeaji na kujisifu kiasi(wahaya wametuzidi hapa)
Upole Kwa wake zao ila nje wanatembeza(mbwa amezidiwa hapa)😉
 
You've scratched the floor mate....✌️
I'm officially Mnyakyusa
 
Baac huo ndo uthibitisho...m nna ma uncle zangu ni wachaga ila wameloea mbeya..ni walikuwa weupe ila wame adopt mazingira ya huko ss iv ni weus tiii...wameambukizwa unyakyusa
😅😅Pole yao. Mimi ni mweusi wa kuzaliwa. Vipi hawajaanza ulokole na kuvaa viatu vya mashangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…