Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Asante bageshi. Sisi tunachekwa ushamba ila kwa ukarimu kwa kweli tuko vizuri. Wabeja!
Pamoja sana mkuu you deserve all pamoja na ushamba wenu.
Ngoja nikuchokoze 😅🏃🏃
FB_IMG_16119401524567919.jpg
 
Wanaume wa Kinyakyusa wanajisikia sana hasa wakiwa na pesa.
Wana dharau,hii sio kwa watu masikini ila kwa watu ambao anaona kidogo hali yako ina karibia na yake
Wakiwa na pesa wanajipenda sana hasa kwenye mavazi,usafi na hata malazi
Wanapenda pia ushirikina sana hii hasa ni wale wenye shule ndogo ambao wanataka shortcut ili watoboe kirahisi
Wabishi hasa wale wenye uwezo flani
Wapole katika hali ya kawaida ila ukianzisha mtiti wanavimba balaa,hawapendi kuonekana wanyonge,ingawa huwa wanyonge sana kwa wanawake wao yani wanyaki wenzao,pia wakipenda wanajua kujifanya wapole balaa kwa wanawake
Lastly midomo yao,wana lips ambazo huwa naona ziko peculiar,mimi naweza kumtambua hasa mwanaume kwa kumuangalia patern ya midomo yake...
 
Mwaisa mtu mbad...
Nasikia ukigombana na mnyakyusa wewe ni hufai ktk jamii... Hawa watu wako peace sana wanajiamini na wanajipenda sana... Nikiongeza mke lazima nioe mnyakyusa... Wana nyota ya kutoboa kimaisha
Itabidi nioe mnyaki aisee wana roho wa Mungu pia. Hawajaweka maslahi mbele kwenye mahusiano hapo ndio wanawashinda pisi kali zetu za chuga!

Wababe, wapambanaji, wanajiamini, hawaembrace kudeka,
Usimdekee mnyaki aise- hasa hawa mdem wa pwani wanaopenda kudekadeka - utaambulia maumivu.

Wana msimamo sana.

nikikumbuka zingine nitaziweka hapa.
Ahsante mkuu
 
Wanyakyusa wengi wana mili mikubwa(body size)

Kwa upande wa rangi huwa ni Black au maji ya kunde! Ni very rare kukuta mnyakyusa mweupe.

Height= wanakua warefu kidogo au size ya kati.

Sifa Zingine ni=
_ Ucheshi
- waongeaji sana japokua baadhi yao ni wa kimya sana.
_ muonekano ya sura mara nyingi wanakua na sura pana kidogo zenye uzito flani hivi.
  • wanavipaji sana
  • Wanajiamini sana hawapendi kupelekeshwa.
  • wanaongea (zungumza ) kwa command yaani Hawana romantic talking.
  • Wanaupeo mkubwa sana wa kuchambua mambo.
  • Ni watanashati wanapenda sana kuvaa vizuri na kula vizuri.
Nk
 
Ni wapole tofauti na wanawake wao ila Ni wanyakyusa Ni watu wabinafs sna cc lusajo na ambokile
 
Na mimi ni mweusi kwelikweli ukisikia giza totoro ndio mimi[emoji28]
Ndio maana!! Japokua makabila yanayosifika kwa black colour ni mengi! Mfano mimi ni mnyaki black in colour bt nafananishwa na wahaya na wakurya! Nikisema mnyakyusa wanakataa yaani nimepata ndugu wengi wa kihaya na kikurya kwa sababu hiyo.
 
Wanyakyusa na utulivu wapi na wapi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Cc Heaven Sent
Ndio ushangae sasa mimi ninavyojua wanyakyusa ni watu wa misifa amshaamsha kama zote maneno kibao! Na ndio maana wanaongoza kuteka akili za watu kwa maneno tu we chukulia mfano pastor mgogo, mzee wa upako, burudozer, na wengine wengi bila kumsahau babu wa loliyondo aliye wauzia vikombe maelfu ya watu. Hawa jamaa wako vzr hata ukifwatili tasnia ya habari, Michezo, na burudani wamejaa sana huko.
 
Nakubali kabisa kaka zetu wa kinyakyusa wanafananafanana sura na wengi wao ni rahisi kuwatambua kuwa ni wanyakyusa
 
Ni watu wa kujichanganya sana. Kuna Mhindi mmoja Alikuwa Mbeya anaitwa Patel alikuwa na basi Mitsubishi Rosa alioa mwanamke wa Kinyakyusa na alikuwa anapenda Kinyakyusa mpaka akawa anajiita Kaka Banyambala, pia alikuwa mdhamini wa timu ya Tukuyu Stars.

Miaka ya 2007 Kuna wazungu nilikutana nao Tukuyu mjini wanaongea Kinyakyusa mpaka unashangaa
 
Back
Top Bottom