Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?
Washamba fulani wanaojitapa kumfahamu Mungu sana
 
"Wana maneno yaa kejel.. wakikusema utadhan umejinyeaaa.. "

Moja ya mistar ya songi fulani
 
Wanawake wa kinyakyusa ni maharage mabichi a.k.a mama huruma wanajua sana kugawa utamu yaani ukioa umeolea kijiji
 
Back
Top Bottom