Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Secondary hakunaga changes. Shule za msingi ndo watawahi kidogo
Mambo mengi kama yapi yapo mwaka huu?Wakuu kama kuna mwenye taarifa rasmi za kufanyika kwa mtihan wa kidato cha nne utakua lini? Watoto wetu hawaelewi ikizingatiwa mwaka huu kuna mambo mengi sana.