Naomba kufahamu Tarehe rasmi mtihani kidato cha nne

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Wakuu kama kuna mwenye taarifa rasmi za kufanyika kwa mtihan wa kidato cha nne utakua lini? Watoto wetu hawaelewi ikizingatiwa mwaka huu kuna mambo mengi sana.
 
Mtihani wa kidato cha nne utafanyika kama unavyofanyika miaka yote tu ndugu!
 
Wakuu kama kuna mwenye taarifa rasmi za kufanyika kwa mtihan wa kidato cha nne utakua lini? Watoto wetu hawaelewi ikizingatiwa mwaka huu kuna mambo mengi sana.
Mambo mengi kama yapi yapo mwaka huu?
 
Back
Top Bottom