Kayejizho Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Feb 2, 2015 #1 Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu!
Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu!
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Feb 2, 2015 #2 wasiliana na uongozi wa chuo ulichopangwa au soma maelekezo yaliyopo kabla ya majina hayo mliochaguliwa usiwe kilazadogo
wasiliana na uongozi wa chuo ulichopangwa au soma maelekezo yaliyopo kabla ya majina hayo mliochaguliwa usiwe kilazadogo
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Feb 3, 2015 #3 Mwezi ujao.
Kayejizho Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Feb 3, 2015 Thread starter #4 oswinwilliam said: wasiliana na uongozi wa chuo ulichopangwa au soma maelekezo yaliyopo kabla ya majina hayo mliochaguliwa usiwe kilazadogo Click to expand... Nimekusoma . . nimeshafanya yangu!
oswinwilliam said: wasiliana na uongozi wa chuo ulichopangwa au soma maelekezo yaliyopo kabla ya majina hayo mliochaguliwa usiwe kilazadogo Click to expand... Nimekusoma . . nimeshafanya yangu!
A ajira ngumu Member Joined Dec 21, 2014 Posts 64 Reaction score 4 Feb 3, 2015 #5 Kayejizho said: Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu! Click to expand... mkuu washatoa majina??web gan wameweka??
Kayejizho said: Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu! Click to expand... mkuu washatoa majina??web gan wameweka??
Kayejizho Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Feb 3, 2015 Thread starter #6 kundi la kwanza yanajulikana, kundi la pili deadline ilikuwa 28 JAN 15 hayo bado hawajatoa . . !!
Kayejizho Member Joined Jan 18, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Feb 3, 2015 Thread starter #7 Funguka kiundani mkuu