Naomba kufahamu Tarehe ya kuripoti vyuoni

Naomba kufahamu Tarehe ya kuripoti vyuoni

Kayejizho

Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu!
 
wasiliana na uongozi wa chuo ulichopangwa au soma maelekezo yaliyopo kabla ya majina hayo mliochaguliwa usiwe kilazadogo
 
kundi la kwanza yanajulikana,
kundi la pili deadline ilikuwa 28 JAN 15 hayo bado hawajatoa . . !!
 
Back
Top Bottom