UBIA maana yake ni Partnership kwa ambao hili neno litawachanganya.
Back to topic:
Kibongo bongo ukijichanganya na vibaka wa mjini utanyang'anywa eneo lako kuwa makini mjini hapo mkuu.
Kesi za ardhi zimekuwa nyingi mno mixer vichaa wa ghafla ndo usiseme