Naomba kufahamu ubora wa gari aina ya Toyota starlet

Naomba kufahamu ubora wa gari aina ya Toyota starlet

Dukani

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
1,136
Reaction score
1,652
Habari ya jioni wakuu, naomba kufahamu kuhusu ubora wa gari tajwa hapo juu, ulaji wake wa mafuta, upatikanaji wa spea na nk.

FB_IMG_15836049418533815.jpg
 
Nunua starlet. Vifaa kibao. Mafuta kidogo.

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom