Dukani JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 1,136 Reaction score 1,652 Mar 7, 2020 #1 Habari ya jioni wakuu, naomba kufahamu kuhusu ubora wa gari tajwa hapo juu, ulaji wake wa mafuta, upatikanaji wa spea na nk.
Habari ya jioni wakuu, naomba kufahamu kuhusu ubora wa gari tajwa hapo juu, ulaji wake wa mafuta, upatikanaji wa spea na nk.
D Davey 2017 Senior Member Joined Mar 24, 2017 Posts 109 Reaction score 133 Mar 7, 2020 #2 Nunua starlet. Vifaa kibao. Mafuta kidogo. Sent from my SM-G975F using Tapatalk