N Ndege Tausi JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 992 Reaction score 472 Jan 31, 2014 #1 kwa sasa kuna idadi kubwa ya watu wanaofanya uzinzi/uasherati baada ya kujipima kwa kutumia hivi vipimo vya bio line ili kujua kama wameathirika na ukimwi. Naomba kufahamishwa uhakika wa hivi vipimo.
kwa sasa kuna idadi kubwa ya watu wanaofanya uzinzi/uasherati baada ya kujipima kwa kutumia hivi vipimo vya bio line ili kujua kama wameathirika na ukimwi. Naomba kufahamishwa uhakika wa hivi vipimo.