Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
kwa sasa kuna idadi kubwa ya watu wanaofanya uzinzi/uasherati baada ya kujipima kwa kutumia hivi vipimo vya bio line ili kujua kama wameathirika na ukimwi. Naomba kufahamishwa uhakika wa hivi vipimo.