Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Magu hapo amejimwambafai tu, kumwita Lugola mwanafunzi wake kwa historia ilivyo katufunga kamba. Yeye na Lugola rika moja tu.
 
Nikowa darasa la pili,shule yetu Kiranja mkuu anakagua isafi pamoja na walimu. Darasa la pili tunafika shule saa nne akauja yeye mwenyewe anakagua isafi,anachapa na viboko watoto wachafu. Alikuwa darasa la Saba,anaweza kutoa adhabu kwa mtu yoyote mkaidi.Hakika yule njemba alikuwa noma na ana ndevu ananyoa..
 
Kwa jinsi JPM mlolongo wake wa shule sidhani.
Naona umezaliwa jana,huko nyuma wanafunzi wengi wa kidato cha sita au walio vyuoni au sekondari kama mkwawa au Shycom wakati wa likizo walikuwa wanakuja shule za sekondari kufundisha,nakumbuka hata huyu aliyekuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto Andengenye alikuwa anatoka Mkwawa wakiwa likizo au mazoezi alifundisha shule ya sekondari Itope akiwa angali kijana sana,kuna njemba zilimzidi hata umri lakini walikuwa wanafunzi wake
 
Kamba
 
Mpaka hapa sijaona mtu mwenye jibu kila mtu anasema inawezekana. Tuna taka jibu moja
 
Chuo kikuu sawa. Ila secondary mhuuuuum ni ngumu.
Kwa miaka ya nyuma inawezekana maana hakukuwa na muda maalumu wa kuanza shule na walimu wa sekondary wengi walikuwa wana 2 years Diploma na aliefundishwa amechelewa mwaka mmoja tu kuanza shule anakutwa akiwa form 3 au 4 na Magufuli amefundisha Sengerema mwaka 1983 na 1984, kama Kangi kwa age yake alipaswa huo mwaka wa 1981 ndio awe ana maliza au awe form 3 japokuwa kwa kizazi cha sasa mtu amemaliza Form 6
 
Labda Mzee kangi alikuwa anafeli la saba sasa Ile rudiarudia primary ili afaulu akamkuta Mkuu ni mwalimu si unajua Ktambo kufaulu ni tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…