Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Ujasiri huo mnao wachache. [emoji23]
 
Ungeongea kwa mfululizo mzuri ungeona kuwa magu alimfundisha lugora. Ila umejichamgamya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alisoma sekondari mwaka huo kufundishwa na JP ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamiliki mabasi yameandikwa kangitrans yanaenda mwibara kama aliwatibua polisi ajiandae kuchezea Vyeti.Masha alilazwa Sana ndani na polisi,ukiwa na nafasi au madaraka yafaa Sana usiwadharau polisi ili hata siku ukitumbuliwa hawana kisasi nawe.
 
Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Mkemia alianza Mkwawa 1981.Hapa siju Diploma ya ualimu walikuwa wanapiga miaka mingapi. Ila naanza kuamini kuwa alimfundisha.
 
Ni kweli alimfundisha aisee. Kangi alianza form one na 18 yrs. Nimeangalia kwenye website ya Bunge. 1981 Kangi alianza form one. 1981 Magu Magu alianza Diploma ya ualimu.
Uhakiki muhimu, tusije kuingizwa chaka.

Mtu anayeanza form one na miaka 18 ubongo ushaanza kuwaza wanawake hapo napo kuna tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…