Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Chefs,
Juzi kati hapa nilipigwa na Homa moja matata sana hadi kupelekea kulazwa Hospitali. Ashukuriwe Mwenyezi Mungu na Madaktari kwa sasa homa imeisha. Hii homa ilipelekea kupungua sana kwa Mwili wangu hadi nguo zangu hazinitoshi.
Sasa ndugu Chefs naomba mnijuze vyakula ambayo naweza kuvitumia ili nirejeshe Mwili wangu na nguo zipate kunikaa vyema kama zamani. Naitaji nifahamu vyakula vitavyofanya ninenepe kidgo ili nirudi kwenye mwili wangu wa zamani.
Ahsante.