Naomba kufahamu vyakula vya Kunenepesha Mwili

Naomba kufahamu vyakula vya Kunenepesha Mwili

Sijui kwa mwili wako ila kwangu nikitaka kutoka kwenye ukondefu huwa ni milk daily wiki tu mabadiliko yanaanza kuonekana
 
Ndo zipi izo, if ni vyakula so vyakula gani vya protein?

0741ee78-ce25-4ff8-a3ab-dd9d98ab9a01.jpg

Ni munganiko wa vyako ambavyo ni vijenzi vya mwili ipo katika mfumo wa powder. Inatumika as food replacement ku recover mwili
 
Kula milo mitatu kwa siku kutoka.katika kila kundi, kwenye makundi ya chakula

Pata vitafunwa walau mara mbili kati ya mlo na mlo

Punguza mawazo

Kua na mpenzi

😃
Milo mitatu kwa siku ninapata

Vitafunwa kati ya mlo na mlo ninapata ipasavyo

Mawazo nmepunguza hadi yameisha so sina mawazo
Kwenye mpenzi apo sasa ndo tufanye Ajenda yetu mimi na wewe. Naomba nije PM tuongee vizuri lakini kwa sasa mpenzi sina ila naona kabisa wewe utanifaa
 
Chukua pumba
chukua mashudu
changanya na molasisi vyote
bada ya wiki utanishukuru
 
Chukua maziwa fresh,tende,ufuta na ndizi mbivu kisha saga kwenye blender,kunywa kwa siku angalau mala tatu au zaidi.
ukipata ndizi zilizoiva sana ni bora zaidi.

Fanya mazoezi haya ili mwili wako ukae vizuri👇

Jumping jack.
Push ups.
Squats.
Sit up.
images.pngimages.jpeg
basicpushup-6d55a2fb6179471494e8fa9a04d8615a.gif
images (1).jpeg
images (1).png
 
Kunywa smooth daily,maziwa ,ndiz mbivu,parachichi,na sukari saga kwenye blender then kunywa
 
Back
Top Bottom