Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Mkuu! Gonga beer kwa saana! Alafu piga michemsho, supu na chapati, nyama choma na maji na juice kubalance alcohol! Alafu anza tena beer kwa saana! Ndani ya wiki mbili utakuwa ubebeki! Nakuambia utakuja PM kunishukuru na kunitumia hela ya vichaChefs,
Juzi kati hapa nilipigwa na Homa moja matata sana hadi kupelekea kulazwa Hospitali. Ashukuriwe Mwenyezi Mungu na Madaktari kwa sasa homa imeisha
Hii homa ilipelekea kupungua sana kwa Mwili wangu hadi nguo zangu hazinitoshi.
Sasa ndugu Chefs naomba mnijuze vyakula ambayo naweza kuvitumia ili nirejeshe Mwili wangu na nguo zipate kunikaa vyema kama zamani. Naitaji nifahamu vyakula vitavyofanya ninenepe kidgo ili nirudi kwenye mwili wangu wa zamani.
Ahsante.
Acha dharau aisee π‘π‘π‘ ulitaka kumaanisha "chiefs"Chefs
Wee bwana wee! Ebu ficha aibu ndogondogo iziAcha dharau aisee π‘π‘π‘ ulitaka kumaanisha "chiefs"
Sawa mkuu, lakini miongoni mwa Conditionalities nilizopewa ni kutokutumia Beer kaibsaaMkuu! Gonna beer kwa saana! Alafu piga michemsho, supu na chapati, nyama choma na maji na juice kubalance alcohol! Alafu anza tena beer kwa saana! Ndani ya wiki mbili utakuwa ubebeki! Nakuambia utakuja PM kunishukuru na kunitumia hela ya vicha
ππ»ππ»ππ» we ndio ficha AIBUWee bwana wee! Ebu ficha aibu ndogondogo izi
Nmeandika Chef na nmemaanisha Chef na sio Chief
Kabla ya kuandika Ujinga wako hapa basi jipe muda chukua Kamusi angalia tofauti ya Chef na Chief
Ahsante. Nafurahi tumeelewana sasa. Nilimaanisha ivoππ»ππ»ππ»
Kwaio sisi Wapishi? π€¬π€¬π€¬π€¬π π π π π π‘π‘π‘Ahsante. Nafurahi tumeelewana sasa. Nilimaanisha ivo
Hili sio Jukwaa la Mapenzi FalconKwaio sisi Wapishi? π€¬π€¬π€¬π€¬π π π π π π‘π‘π‘
Hapo sawa π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½Hili sio Jukwaa la Mapenzi Falcon
Ahsante. Welcome tugonge cheersHapo sawa π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½
π₯π₯π»π» ila achana na unene hauna dili moyo utasumbua baadaeAhsante. Welcome tugonge cheers
Yaah that's true bro. Sihitaji Unene ule wa kupitiliza just wa kawaida tuπ₯π₯π»π» ila achana na unene hauna dili moyo utasumbua baadae
Nlikua na Kilo 80 wakati naumwa nikawa na Kilo 78, lakin sina unene n nmepungua kdogo so nataka nijenge Mwili wangu urudi normal yaan nisiwe mwembamba wala nisiwe mnene, saiz nmekua mwembamba kidogoKitimoto usikizahau nabia za Kilimanjaro baridii
Mm ninazo kilo 72 na ikishuka inabaki 69! I'll Sina unene wa kupitiliza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo zipi izo, if ni vyakula so vyakula gani vya protein?Tumia protein supplements