Naomba kufahamu vyakula vya Kunenepesha Mwili

Sijui kwa mwili wako ila kwangu nikitaka kutoka kwenye ukondefu huwa ni milk daily wiki tu mabadiliko yanaanza kuonekana
 
Kula milo mitatu kwa siku kutoka.katika kila kundi, kwenye makundi ya chakula

Pata vitafunwa walau mara mbili kati ya mlo na mlo

Punguza mawazo

Kua na mpenzi

πŸ˜ƒ
Milo mitatu kwa siku ninapata

Vitafunwa kati ya mlo na mlo ninapata ipasavyo

Mawazo nmepunguza hadi yameisha so sina mawazo
Kwenye mpenzi apo sasa ndo tufanye Ajenda yetu mimi na wewe. Naomba nije PM tuongee vizuri lakini kwa sasa mpenzi sina ila naona kabisa wewe utanifaa
 
Chukua pumba
chukua mashudu
changanya na molasisi vyote
bada ya wiki utanishukuru
 
Chukua maziwa fresh,tende,ufuta na ndizi mbivu kisha saga kwenye blender,kunywa kwa siku angalau mala tatu au zaidi.
ukipata ndizi zilizoiva sana ni bora zaidi.

Fanya mazoezi haya ili mwili wako ukae vizuriπŸ‘‡

Jumping jack.
Push ups.
Squats.
Sit up.



 
Kunywa smooth daily,maziwa ,ndiz mbivu,parachichi,na sukari saga kwenye blender then kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…