Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Hata walinzi wa makampuni binafsi hawawezi kufanyiwa ujinga huoMkuu wa majeshi ya TANAPA ni Kigwangala....."wewe unataka cheo hutaki haya piga pushapu 20, wewe unaleta masihara? Ruka kichuraa chura mpaka kule"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app