Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu na uzoefu wa wakala wa uagizaji magari kutoka nje ambao hawana longo longo.
Karibu sana Kimomwe Motors (T) Ltd tukuhudumie. Hakuna gharama ya ziada kama inavyosemwa na baadhi ya wachangiaji kwa kua tunafanya mchakato mzima kwa uwazi tukiangazia CIF, Ushuru na Bandari. Tupigie 0746267740, au tembelea ofisi zetu za Magomeni Mapipa, Mbeya soko Kuu la Mwanjelwa na Dodoma tunafungu hivi karibuni.

Mda si mrefu tutaweka uzi wa baadhi ya gari tulizokabidhi mwezi November na December hivyo endelea kutufuatilia.
 
Nenda ukawaone KIMOMWE MOTOR'S ni wazuri zaidi kuliko, wako faster na reliable, wapo apo Magomeni.

kadeti shukrani sana kwa kutambua na kuthamini huduma zetu boss. Hakuna aliyepata huduma za Kimomwe Motors akajutia badala yake hua wanashangaa kwa nini gharama ni chini zaidi wakija kuagiza nasi tofauti na kwenda sehem nyingine moja kwa moja!!
 
Mkuu kuagiza gari unaweza kuagiza mwenyewe kwa njia ya mtandao kutegemea na aina ya gari nchi unayotaka kuagiza gari pamoja na bajeti yako.Jambo la Muhimu ni wewe kufahamu tu kile unachotaka kusaidiwa.Kama unahitaji msaada zaidi tuwasiliane kwa ushauri zaidi.

Risk za kuagiza mwenyewe unazifaham boss? Mfano, ukiletewa gari tofauti na uliyochagua unajua pa kuanzia? Kukitokea binadamu aliyezidi walinzi akaiba kifaa chochote kabla ya gari kukufikia unajua wapi wa kuanzia, gari yako ikicheleweshwa kukufikia unajua wapi pa kuanzia, lakini huo mda wa kukimbizana na clearing agents au mamlaka nyingine unautoa wapi wakati ilitakiwa uwe bize kutengeneza pesa?

Umejiuliza kuhusu wigo mpana wa uchaguzi wa gari- Sisi tuna kampuni za kijapan zaidi ya 15 hivyo mteja anachagua gari bora, kwa gharama nafuu na dhamana anatubebesha sisi bila kulipia gharama ya ziada kwa kua sisi tunalipwa na hizo kampuni za nje.
 
Kwa sasa kuna hawa kimomwe naona wako poa na hata bei ukiongea nao hua zinapungua sana
Arovera Shukrani sana kwa kutambua na kuthamini huduma zetu boss. Hakuna aliyepata huduma za Kimomwe Motors akajutia badala yake hua wanashangaa kwa nini gharama ni chini zaidi wakija kuagiza nasi tofauti na kwenda sehem nyingine moja kwa moja!!
 
Kwanini usiagize mwenyewe mbona ni rahisi tu
Watu wengi ujinga umewajaa. Na hao mawakala wanawaambia kuwa ukiagiza unaeza letewa gari tofauti na uloagiza. Mara litachelewa... vitu vitaibiwa

Hii yote wawapige 2 hadi 3mil

Eti pamoja na usajili na namba wakati usajili hulipiwa kwenye kodi
 
HONDA CR-V 2005
HONDA CRV V.png


Arrival PortDelivery DestinationService DetailsTotal Price
DAR ES SALAAM (port)
DAR ES SALAAM + Clearing
transport_to_port_only.gif
$4,622
 
Back
Top Bottom