Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
habari wadau...!!
naombeni msaada wenu wa hali na mali.
naomba kujuzwa jinsi ya kuonana na wasanii hawa, jacob steven (JB) pamoja na vicent kigosi (Ray)
wadau nina shida nao ya msingi sana, mjini hapa sina direction yoyote ya jinsi ya kuwaona physically.
tafadhalini mwenye namba zao za simu anisaidie kwa pm!
wenu... Life Goes On..

Last edited by a moderator: