Naomba kufahamu Wasifu wa Amos Makalla

Naomba kufahamu Wasifu wa Amos Makalla

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali.

Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule Alhaji alivyoletwa ndio lilizidi kupoa mpaka mama kashtukia kwamba kipindi cha Alhaji jiji lilipoa akaamua kumpeleka pwani.

Je, huyu mh Amos Makalla amekuja kulichangamsha jiji kidogo au naye atalipoza kama litapoa bora tuletewe Chalamila au yule mzee wa engineer soma hiyo😂😂😂
 
Daaah!!!! Mitanzania or Miafrica ni Shidaah!!, yaani mitu inafurahia kuperekeshwa, kudhalilishwa na kuporwa mali ndio ijue kuwa mtu anawatumikia. Ulifurahia sana uhalifu uliokuwa unafanywa jijini Dar-es-Salaam kipindi cha HUYO MTU WAKO chini ya Maelekezo ya KIONGOZI MKUU. Ndugu yangu Viongozi kama HUYO MTU WAKO hawatakiwi kwenye uongozi wa MAMA.

Ni kheli ungeulizia je Watu waliopotezwa ni nani mhusika mkuu, Je risasi kwa Tundu lissu waliokuwa nyuma ya matukio haya ya Kialifu ni hakina nani, na wale watu walikuwa wanaokotwa kwenye Viroba na waandishi wa habari kupotezwa nini kiliisibu Tanzania Kipindi hicho. Kwani HUYO MTU WAKO alipowaitaa akina mama wote wa jiji la Dar-es- salaam ili wamueleze matizo ya ndoa zao wewe uliona huyo MTU WAKO alikuwa sahihi na je solution ilipatikana.

Watanzania Waliobatizwa jina la WASALITI Wameumizwa sana kwa Wakati huo huo hao Watesi wakijipa jina la WAZALENDO so hawako tayari kurudishwa Babeli or Kosovo/Somalia. Kama unampenda sana HUYO MTU wako, wakusanye wote na yule wa HAI wapereke kwenye ukingo wa Mto Gaza tuone kama wao ni wanaume kweli. Pathetic unashadidia Criminals. Hatuhitaji Kuchangamchwa tunahitaji "Kuongozwa"...Hatuhitaji Kiongozi "anayesema JiJi lake bali asemi "Jiji la Dar-es-Salaam".
 
Makala ni kiongozi mchapa kazi hodari, mfuatiliaji, huwezi kumhonga wala kumrubuni.

kwa kifupi ni mtu mwenye msimamo, kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Mhe. RC Makala tunaomba utembelee kituo cha Mabasi cha Magufuli na uone ni jinsi gani unaweza kufanya kwa kushirikiana na Waziri wa TAMISEMI.

Kituo cha Mabasi cha Magufuli ni chanzo Kikubwa cha Mapato cha Mkoa wa DSM na Taifa kwa ujumla endapo tu kutakuwa na udhibiti na ufuatiliaji, usisubiri watu wapige weeee ndio mnaaanza kusema, mimi nimesema mapemaa kabisa kuwa fuatilia kituo cha mabasi cha Magufuli.
 
Nilimsikia bendi zinamuimba miaka hiyo..

Akaenda Mbeya akamfunga Sugu mwenzie Hakimu akapandishwa cheo yeye akapelekwa Katavi.

Akashindwa kuuza vitambulisho akatumbuliwa...

Akaenda kugombea ubunge akashinda kura za maoni ila marehemu dikteta mwenye roho mbaya zaidi ya shetani akamkata jina...

Akarudi mtaani tukaanza kunywa naye K Vant za kupima na Kitoko mara paa kateuliwa kuwa RC Dar..

Maisha ni safari.
 
Daaah!!!! Mitanzania or Miafrica ni Shidaah!!, yaani mitu inafurahia kuperekeshwa, kudhalilishwa na kuporwa mali ndio ijue kuwa mtu anawatumikia. Ulifurahia sana uhalifu uliokuwa unafanywa jijini Dar-es-Salaam kipindi cha HUYO MTU WAKO chini ya Maelekezo ya KIONGOZI MKUU. Ndugu yangu Viongozi kama HUYO MTU WAKO hawatakiwi kwenye uongozi wa MAMA.

Ni kheli ungeulizia je Watu waliopotezwa ni nani mhusika mkuu, Je risasi kwa Tundu lissu waliokuwa nyuma ya matukio haya ya Kialifu ni hakina nani, na wale watu walikuwa wanaokotwa kwenye Viroba na waandishi wa habari kupotezwa nini kiliisibu Tanzania Kipindi hicho. Kwani HUYO MTU WAKO alipowaitaa akina mama wote wa jiji la Dar-es- salaam ili wamueleze matizo ya ndoa zao wewe uliona huyo MTU WAKO alikuwa sahihi na je solution ilipatikana.

Watanzania Waliobatizwa jina la WASALITI Wameumizwa sana kwa Wakati huo huo hao Watesi wakijipa jina la WAZALENDO so hawako tayari kurudishwa Babeli or Kosovo/Somalia. Kama unampenda sana HUYO MTU wako, wakusanye wote na yule wa HAI wapereke kwenye ukingo wa Mto Gaza tuone kama wao ni wanaume kweli. Pathetic unashadidia Criminals. Hatuhitaji Kuchangamchwa tunahitaji "Kuongozwa"...Hatuhitaji Kiongozi "anayesema JiJi lake bali asemi "Jiji la Dar-es-Salaam".
Kuna msemo fulani humu JF unasema

"Miafrika ndio tulivyo".
 
Namkumbuka kipindi akiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro,

Alikuwa anavyaa Miwani Nyeusi

Alikuwa hacheki hovyo,

Hotuba zake hazina vituko na maneno mengi ya kuteka Attention za watu kama ambavyo wakuu wengi wa mikoa au wilaya walivyo,

Kwenye Utambulisho hasa kwenye Sherehe au matukio muhimu anatambulisha na kutambua uwepo wa wanaostahili hata kama ni Wa vyama pinzani

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Daaah!!!! Mitanzania or Miafrica ni Shidaah!!, yaani mitu inafurahia kuperekeshwa, kudhalilishwa na kuporwa mali ndio ijue kuwa mtu anawatumikia. Ulifurahia sana uhalifu uliokuwa unafanywa jijini Dar-es-Salaam kipindi cha HUYO MTU WAKO chini ya Maelekezo ya KIONGOZI MKUU. Ndugu yangu Viongozi kama HUYO MTU WAKO hawatakiwi kwenye uongozi wa MAMA.

Ni kheli ungeulizia je Watu waliopotezwa ni nani mhusika mkuu, Je risasi kwa Tundu lissu waliokuwa nyuma ya matukio haya ya Kialifu ni hakina nani, na wale watu walikuwa wanaokotwa kwenye Viroba na waandishi wa habari kupotezwa nini kiliisibu Tanzania Kipindi hicho. Kwani HUYO MTU WAKO alipowaitaa akina mama wote wa jiji la Dar-es- salaam ili wamueleze matizo ya ndoa zao wewe uliona huyo MTU WAKO alikuwa sahihi na je solution ilipatikana.

Watanzania Waliobatizwa jina la WASALITI Wameumizwa sana kwa Wakati huo huo hao Watesi wakijipa jina la WAZALENDO so hawako tayari kurudishwa Babeli or Kosovo/Somalia. Kama unampenda sana HUYO MTU wako, wakusanye wote na yule wa HAI wapereke kwenye ukingo wa Mto Gaza tuone kama wao ni wanaume kweli. Pathetic unashadidia Criminals. Hatuhitaji Kuchangamchwa tunahitaji "Kuongozwa"...Hatuhitaji Kiongozi "anayesema JiJi lake bali asemi "Jiji la Dar-es-Salaam".
Mkuu umeeleza vyema.
Tatizo letu kuu ni UJINGA.
 
RC kulichangamsha Jiji ndio kufanyaje? Yaani anatakiwa afanyaje ili ndio aonekane kua analichangamsha Jiji?
 
Atakuwa na undugu na bwakila, mutoto ya mji kasoro bahari..
 
Habari wadau!

Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali.

Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule Alhaji alivyoletwa ndio lilizidi kupoa mpaka mama kashtukia kwamba kipindi cha Alhaji jiji lilipoa akaamua kumpeleka pwani.

Je, huyu mh Amos Makalla amekuja kulichangamsha jiji kidogo au naye atalipoza kama litapoa bora tuletewe Chalamila au yule mzee wa engineer soma hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungetuketea CV ya Albat bashite kwanza,inawezekana cv ikafanana na tabia,jiji limepowa maana yake nini?haya mambo peleka instagram
 
Habari wadau!

Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali.

Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule Alhaji alivyoletwa ndio lilizidi kupoa mpaka mama kashtukia kwamba kipindi cha Alhaji jiji lilipoa akaamua kumpeleka pwani.

Je, huyu mh Amos Makalla amekuja kulichangamsha jiji kidogo au naye atalipoza kama litapoa bora tuletewe Chalamila au yule mzee wa engineer soma hiyo😂😂😂
Engineer ndio mtu sahihi, ana weledi, hauwezi mdanganya anajua vitu vingi, taratibu zote za kiutendaji hadi za chini ngazi za nyumba kumi....haonei mtu...mchapa kazi .... haonei mtu aibu.....mshauri mzuri na mzoefu....Mh. mama yetu atapata mtu sahihi ambaye angemwondolea mastress, mavisukari
 
Makala ni kiongozi mchapa kazi hodari, mfuatiliaji, huwezi kumhonga wala kumrubuni.

kwa kifupi ni mtu mwenye msimamo, kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Mhe. RC Makala tunaomba utembelee kituo cha Mabasi cha Magufuli na uone ni jinsi gani unaweza kufanya kwa kushirikiana na Waziri wa TAMISEMI.

Kituo cha Mabasi cha Magufuli ni chanzo Kikubwa cha Mapato cha Mkoa wa DSM na Taifa kwa ujumla endapo tu kutakuwa na udhibiti na ufuatiliaji, usisubiri watu wapige weeee ndio mnaaanza kusema, mimi nimesema mapemaa kabisa kuwa fuatilia kituo cha mabasi cha Magufuli.
Pale ushuru wa kuingia getini wale wakusanyaji mida ya asubuhi wanakuwa kama wauza karanga tu ni kelele za silver to hata mashine ya poss hawana anajisevia tu anazotoka halafu anaangalia awasilishe shingapi, kuwepo na utaratibu mzuri wa ukasanyaji mapoto.
 
Back
Top Bottom