Naomba kufahamu Wasifu wa Amos Makalla

Atakuwa alinufaika kwa namna moja ama nyingine
 
Kwa nini alitumbuliwa na jiwe?
 
Nimeamka naona mkeka Amos Makalla atapangiwa kazi nyingine:Amewahi kuwa naibu Katibu mkuu uvccm; Katibu mkuu uvccm walipiga kazi na Dr Nchimbi
Akateuliwa mweka hazina ccm akafanya kazi nzuri sana ccm ndiye aliyesimamia ununuzi magari yote ccm
Akawa naibu waziri michezo baadaye maji
Amepelekwa ukuu wa mikoa mbeya Dsm mwanza Kilimanjaro na katavi
Sitoshangaa kurudi Ccm ni mtu wa mikakati na mbobezi mambo ya propaganda
 
Wabongo wengi sisi ni mazezeta anyways acha muendelee kupeana ulaji tu kila siku ni nyie na familia zenu.
 
Zamani nilikuwa nikisikia mtu atapangiwa kazi nyingine najua amepigwa chini kumbe huwa wanapangiwa kweli
 
Chawa mtabaki kuwa chawa hadi viroboto. Ccm ina wenyewe. Mtabaki kusikia Nnauye, Makamba, Kawawa Mongela, nyie pigeni makelele tuu mitandaoni. Shenzi kabisa. Wao wata baki mtoe hapa mpeleke pale. Mta vuta bangi na kula sembe hadi muwe kama benzi
 
Ushauri wako mkuu ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…