Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk.

Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo.

Ahsanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…