Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 276
Jamani wanajamii forum naomba kujua eti msanii unapoitwa kwenye interview kwenye media kula hela unalipwa? Mfano kama Diamond alivyoitwaa clouds kuzungumzia inshu ya mtoto Wake kwa Hamisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona haipatikani embu nitumie ya tgo0789331643
Mpigie namba yake hiyo umuulizie
Ya tigo sina mkuuMbona haipatikani embu nitumie ya tgo
Unataka kumlipa?!Jamani wanajamii forum naomba kujua eti msanii unapoitwa kwenye interview kwenye media kula hela unalipwa? Mfano kama Diamond alivyoitwaa clouds kuzungumzia inshu ya mtoto Wake kwa Hamisa
Cwezi kumlipa ili nijue siku na mm nikiitwa interview nilipwe changu mapemaUnataka kumlipa?!
kwani wewe ni msanii?Cwezi kumlipa ili nijue siku na mm nikiitwa interview nilipwe changu mapema
Ampigie mwenyewe tu,hapa tutamdanganya bure.0789331643
Mpigie namba yake hiyo umuulizie
Sasa wakati wa kugoogle utaandika vipiMkuu ingekuwa vyema uka-google
ilo swali, kwa Mimi sina utaalam nalo.
ukipata majibu kumbuka kuleta mrejesho
Nadhani ilo swali la namna ya kuandika Google ungeliandika google[emoji3][emoji3][emoji3] , watakupa mongozo wote. Ila hapa tutadanganyanaSasa wakati wa kugoogle utaandika vipi
Mkuu kwani we umeuliza swali gani?Sasa wakati wa kugoogle utaandika vipi