Naomba kufamu kama lipo soko la maroba chakavu yaliotumika kuhifadhi mahindi

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Wakuu salaam,
Nina maroba chakavu mengi sana ambayo yalitumika kuhifadhia mahindi,naomba kufahamishwa kama lipo soko lake kama ilivyo kwa makopo ya plastiki ambayo hua naona yakiokotwa mitaani.
Na kama soko lipo kinatumika kipimo gani na bei gani?
Natanguliza shukrani!
 
Lipo mkuu. Njo pm tuongee nikupe maelekezo. Kwa wengine ni kwamba kuna kampuni inafanya recycling ya hiyo mifuko PP woven sack na mifuko yote ya nylon. Bei ni kutokana na hali ya mifuko. Kuanzia 300@kg na kuendelea
Harsho Packaging
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…