gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Wakuu salaam,
Nina maroba chakavu mengi sana ambayo yalitumika kuhifadhia mahindi,naomba kufahamishwa kama lipo soko lake kama ilivyo kwa makopo ya plastiki ambayo hua naona yakiokotwa mitaani.
Na kama soko lipo kinatumika kipimo gani na bei gani?
Natanguliza shukrani!