I said Friday within these 2 coming weeksLatoya ni nani?
ThanksKaka DJ Sepetu.....Njooo uku mkuu!!.
Hahaha Acha hizoInterview bila kuvuliwa chu.pi?!...haiwezekani kwa sasa
Thank you too hata Mimi nilijua ndio unamtafuta.Thanks
that's what I wanted
jina lake lilinitoka kidogo lol
Be blessed kwa sanaThank you too hata Mimi nilijua ndio unamtafuta.
Hahaha Acha hizo
pichu zitavuliwa badae usihofu mkuu hahahahah
Hahah unapenda sana mchezo eehWw nipe mchezo j5 then ijumaa unafanyiwa interview
Hivyo eehUnataka interview lakin ukumbuke tu, Dj sepetu awali alikuwa anaitwa 'Muosha rungu'
Leo ndio na mudaIngekuwa vizuri ungaeandika hii thread siku ya Friday
Basi sahau kuhusu interviewHahah unapenda sana mchezo eeh
kama haiwezekan basi,sio ishu
Habari za mida wana ukumbi .
kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mhusika wa interview anifanyie mahojiano ya live meaning majibu ya papo kwa hapo.
Nitajibu anything mtakachohitaji sikia toka kwangu .
Naomba iwe any day ya Friday kuanzia saa nane mchana within these 2 weeks.
Natanguliza shukran
Wasalaam
Latoya.
Kwa kuwa kuna thread umesema unatembea na Mume wa Mtu, Je unajisikiaje ukiwa mwanamke uliyezalishwa na kuachwa na mwanaume kuwa kimada wakati una sifa za kumiliki mwanaume wako ...? Au na wewe unaogopa Kuibiwa kama unavyowaibia wanawake wenzio?Habari za mida wana ukumbi .
kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mhusika wa interview anifanyie mahojiano ya live meaning majibu ya papo kwa hapo.
Nitajibu anything mtakachohitaji sikia toka kwangu .
Naomba iwe any day ya Friday kuanzia saa nane mchana within these 2 weeks.
Natanguliza shukran
Wasalaam
Latoya.
Siku wakikufanyia wewe nistue.Katika hao waliokutongoza kuna mmoja au wawili ambao wamekugusa kwa namna moja au nyingine na unafikiria kuwavulia picchu? ID yako ya zamani ni ipi Latoya?
Siku wakikufanyia wewe nistue.