Habari za mida wana ukumbi .
kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mhusika wa interview anifanyie mahojiano ya live meaning majibu ya papo kwa hapo.
Nitajibu anything mtakachohitaji sikia toka kwangu .
Naomba iwe any day ya Friday kuanzia saa nane mchana within these 2 weeks.
Natanguliza shukran
Wasalaam
Latoya.