Bakari China
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 254
- 588
Picha ya maneno kutoka kwenye hicho kitabu
Hiyo ni Quran na sio kitabu cha Kiswahili hicho.
Achana na hayo makitu mkuu,utapata uchizi
aaaaaah😅kwa wanafunzi kutoka kwa ng'ambo ujuzi huo umetosha, lakini nitafanya utafiti wa utamaduni wa Kiswahili, ni lazima nijue vitu hivyoAcha sifa ndugu Bakari, hicho ulichojua kinatosha, maana umeshatuzidi hata sisi wenyewe.
sio quran. mmoja anayejifunza lugha ya kiarabu hakuweza kuyasoma kaniambia ni Kiswahili chenye maandishi ya kale.Hiyo ni Quran, na sio kitabu cha kiswahili hicho.
Kwamba hicho ni kiswahili na sio kiarabu???sio quran. mmoja anayejifunza lugha ya kiarabu hakuweza kuyasoma kaniambia ni Kiswahili chenye maandishi ya kale.
Kwa mujibu wa mwalimu wetu, Kiswahili kilikuwa kimesanifishwa na kubadilishwa kuwa maandishi ya kirumi(latin alphabets) na mamlaka ya ukoloni wa Uingereza, mnamo 1930s. Kabla ya hapo, lugha hiyo ilikuwa huandikwa kwenye herufi ya kiarabu. Alphabet ya kiarabu ilitumika kuandika Kiswahili kuambatana na matamshi yake.Kwamba hicho ni kiswahili na sio kiarabu???
Huyo aliyekuambia ni Mtafiti wa Lugha kutoka wapi?
Wewe umeona hapo kuna irabu hata moja ya kiswahili?
Sasa tunatumia herufi ya kirumi(latin alphabet, kama vile a,b,ch,d) lakini kabla ya miaka 100, herufi ya kiarabu ا ب ت ilitumika kuandika Kiswahili.Kwamba hicho ni kiswahili na sio kiarabu???
Huyo aliyekuambia ni Mtafiti wa Lugha kutoka wapi?
Wewe umeona hapo kuna irabu hata moja ya kiswahili?
sasa tunatumia herufi ya kirumi(latin alphabet, kama vile a,b,ch,d) lakini kabla ya miaka 100, herufi ya kiarabu ا ب ت ilitumika kuandika kiswahili.
Ndiyo, nasikia kuwa baadhi ya wazanzibari wanaelewa Kiswahili kama hicho, hata nembo ya Chuo Kikuu cha Zanzibar ina herufi hizo. Je, huku kuna mzee mzanzibari anayeweza kunisaidia?Kweli elimu haina mwisho, hili swala sijawahi kulisikia la herufi za kiarabu kuandika kiswahili.
Anyway, labda upate wana historia wa lugha ya kiswahili, lakini naona utapata ugumu kwa unachokitafuta.
ndiyo. nasikia kuwa baadhi ya wazanzibari wanaelewa kiswahili kama hicho, hata nembo ya Chuo Kikuu cha Zanzibar ina herufi hizo. Je, huku kuna mzee mzanzibari anayeweza kunisaidia?
View attachment 1681760
Hiyo ni Quran, na sio kitabu cha kiswahili hicho.
Kwamba hicho ni kiswahili na sio kiarabu???
Huyo aliyekuambia ni Mtafiti wa Lugha kutoka wapi?
Wewe umeona hapo kuna irabu hata moja ya kiswahili?
kwa mujibu wa mwalimu wetu, kiswahili kilikuwa kimesanifishwa na kubadilishwa kuwa maandishi ya kirumi(latin alphabets) na mamlaka ya ukoloni wa uingereza, mnamo 1930s. Kabla ya hapo, lugha hiyo ilikuwa huandikwa kwenye herufi ya kiarabu. alphabet ya kiarabu ilitumika kuandika kiswahili kuambatana na matamshi yake.