Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

Karibu sana[emoji23] kuna wana JF wenzetu hapa nimeshasimamia show zao wako kama watatu hivi.. Wakiamua watakuja wenyewe kusema hapa
Hahahaha inabidi waje watupe ushuhuda wa kama kwa mwamposa.
Maana sometime hizi pisi Kali zinatuchanganya, tunaona tuwaachie nyie mtusaidie kwenye ushenga pale
 
Hahahaha inabidi waje watupe ushuhuda wa kama kwa mwamposa.
Maana sometime hizi pisi Kali zinatuchanganya, tunaona tuwaachie nyie mtusaidie kwenye ushenga pale
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai..pisi kali ni huku mitaani akirudi home ni ukiwa na upweke
 
Ila muda mwingine kuna upepo mabaya unapita wazazi na mtoto wanakukataaa kabisa wazi wazi, kwamba ujumbe wa maneno hujafika
Ujue ni watata na watakuwa watata hata mbeleni.

Jambo la msingi ni kuwa na mshenga mwenye busara na muwasilishaji wa hoja vizuri zenye mashiko.

Na mara nyingi mshenga mzuri ni yule anayetoka kabila moja na binti na anayewafahamu vizuri hao anaoenda kumchukua mtoto wao. Lakini kama wako kabila moja basi ahakikishe mshenga anawafahamu vizuri hao watu. Mambo yatakuwa rahisi.

Sio wanakuja kwetu huku Mbeya halafu wanatoka na mshenga Dar, watapata shida na pesa itawatoka nyingi mpaka wakome.
 
Nimeipenda barua.
 
Ahaaaa nimejifunza kitu
 
Asije akatuma kwa posta tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Mtafute mlokozi mzee wa kambuzi kako kaliko potea tunako walipoenda kujitambulisha kambini
 
Hahahahah duh kwshney
 
Panga kama unavyoandika barua ya kazi, mwaga sera zako kwa ufupi, mpe mshenga apeleke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…