Naomba kufundishwa kupiga mluzi

Naomba kufundishwa kupiga mluzi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Naomba kufundishwa kupigq ule mluzi wa kelele kali. Achana na huu wa kuimbia nyimbo. Au kuna watu haiwezekani kabisa kupiga mluzi?
 
Juzi daladala ilikuwa inaondoka kuiwahi nikapiga mluzi unaompa ishara dereva kuwa Kuna abiria akageuka chap kukuta ni mwanamke akaishia kucheka.Sasa tuingie mzigoni mkuu,unataka mluzi upi....niijuayo ni wa kuitia mbwa,kufukuzia kuku,kuitia mtu aliye mbali,kuchungia ng'ombe,mbuzi,kondoo na kupigia kelele kwenye sherehe.Karibu
 
Naomba unifundishe ila mimi nahitaji kuja physically
 
Haya ndiyo madhara ya kukulia Masaki! Vitu vidogo tu kama mluzi, vinakushinda.
 
M
Juzi daladala ilikuwa inaondoka kuiwahi nikapiga mluzi unaompa ishara dereva kuwa Kuna abiria akageuka chap kukuta ni mwanamke akaishia kucheka.Sasa tuingie mzigoni mkuu,unataka mluzi upi....niijuayo ni wa kuitia mbwa,kufukuzia kuku,kuitia mtu aliye mbali,kuchungia ng'ombe,mbuzi,kondoo na kupigia kelele kwenye shereh.
mbona aijaelewa,wewe ndo mwanamke au konda ulimshtua ili amuone mwanamke mwingine.
Hivi wewe huwa ni ke/me maana kuna mda unakuja kiume saa nyingine kike!
 
M
Juzi daladala ilikuwa inaondoka kuiwahi nikapiga mluzi unaompa ishara dereva kuwa Kuna abiria akageuka chap kukuta ni mwanamke akaishia kucheka.Sasa tuingie mzigoni mkuu,unataka mluzi upi....niijuayo ni wa kuitia mbwa,kufukuzia kuku,kuitia mtu aliye mbali,kuchungia ng'ombe,mbuzi,kondoo na kupigia kelele kwenye shereh.
mbona aijaeleweka,wewe ndo mwanamke au konda ulimshtua ili amuone mwanamke mwingine.
Hivi wewe huwa ni ke/me maana kuna mda unakuja kiume saa nyingine kike!
 
Juzi daladala ilikuwa inaondoka kuiwahi nikapiga mluzi unaompa ishara dereva kuwa Kuna abiria akageuka chap kukuta ni mwanamke akaishia kucheka.Sasa tuingie mzigoni mkuu,unataka mluzi upi....niijuayo ni wa kuitia mbwa,kufukuzia kuku,kuitia mtu aliye mbali,kuchungia ng'ombe,mbuzi,kondoo na kupigia kelele kwenye sherehe.Karibu
Ule wa kelele. Wa kuitia bodaboda.
 
Haya, mkono wa kuume weka kidole cha pili na cha tatu kutoka kikubwa, viweke katikati ya mdomo, yaani gawa lips sehemu mbili, puliza,

Jitahidi kurekebisha vidole mpaka upate mlio mkubwa.

Please feed me back.
Hahah namuona mleta mada akiijaribu hii,sipo mazingira mazuri ya kufanya hili zoezi ngoja nitafanya nikiwa peke yangu hapa nilipo naweza onekana chizi maana nitakuwa napiga mluzi wa kazi gani sasa?
 
Back
Top Bottom