choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Mwenye full details za hawa jamaa aniandikie tafadhali. Kuna jamaa yangu kajitosa huko eti unawatumia hela kiasi kama yeye kawatumia laki mbili km mtaji then baada ya wiki wamlipe laki moja, wiki nyingine laki moja then wiki ya tatu elfu hamisini kwahiyo atakua na kama laki 250 kwa wiki tatu. Alituma j5 iliyopita wakidai leo wanampa mrejesho then jamaa wamekula kona.
Mwenye detail kamili za hawa matapeli wapya tafadhali aujulishe umma.
Mwenye detail kamili za hawa matapeli wapya tafadhali aujulishe umma.
Last edited by a moderator: