Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jan 9, 2020 #1 Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata website hawawezi kuimaintain?
Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata website hawawezi kuimaintain?