The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
haaa haaa unalazimisha watu kukubali hoja zako. kama mdee ana uchungu atafanyiwa abortion tuEbu kuwa basi na akili hata za kuvukia barabara basi
Hauna uchungu na chadema zaidi ya mdee
Mkiitwa mnyama mnaona mnaonewa
Wote wahuni tu. Wala msipoteze muda wenu kwaajili yaoNafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA
Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.
1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?
2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?
Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?
Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?
Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Joyce Mukya yumo?Salome Mke wa Nani??
mke wa Salum Mwalimu ni yupi kwenye hyo orodha?Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.