Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Mkuu, hakuna mwanamke mwenye cheo cha mke anaeweza kufanya jambo lolote pasipo idhini ama mumewe kufaham
 
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Not to be anal. Not to get in anybody’s personal business and all that jazz.

But...however...

Mmoja wa walioapishwa ni Halima Mdee.

Hivyo naamini na yeye ni kati ya hao “19 wote”.

Je, Halima Mdee ana mume? Kaolewa lini?
 
Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?
Wapo japo sijuhi sana majina yao..kuna Upendo peneza nafikiri toka Geita,Catherine Ruge from serengeti,Yosepha Komba muheza ....Huyo Catherine Ruge alifatwa na Bulaya kumpa hiyo dili ila akawa mzito kufanya mamuzi...hoo watu wamekufa kunipigania sijuhi wengine wako ndani wakamwacha njiani
 
Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA

Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.

1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?

2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?

Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?

Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?

Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Hilo la 2 ni uongo, Anthropia ni mke wa Mhandisi Anjelo Aloyce
 
The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Dah, Anthropia sio mke wa John Mrema
 
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed

No. 16 sio mke wa John Mrema, ni mke wa Mhandisi Angelo Aloyce , alikuwa Temeke Municipal ameacha kazi , ni mjasiliamali now
 
Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Does it matter?
 
Not be anal. Not to get in anybody’s personal business and all that jazz.

But...however...

Mmoja wa walioapishwa ni Halima Mdee.

Hivyo naamini na yeye ni kati ya hao “19 wote”.

Je, Halima Mdee ana mume? Kaolewa lini?

Sijui kama nimekuelewa
But kikubwa nilikuwa nauliza kupata
Confirmation
Mfano nilikua sijui mmoja ni Mke WA mgombea mwenza Salum Mwalimu..
Na mwingine nafikiri kazaa na Mbowe
Sijui kuhusu Halima..
Thread inahusu kutafuta facts
Sija ongea chochote as facts
 
Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA

Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.

1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?

2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?

Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?

Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?

Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
pamoja na haya kufanyika bt bado kuna wajinga wanashupaza mishingo kutetea ujinga wa alichozungumza mnyika
Usiwe mjinga, wewe kima.

Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Sijui kama nimekuelewa
But kikubwa nilikuwa nauliza kupata
Confirmation
Mfano nilikua sijui mmoja ni Mke WA mgombea mwenza Salum Mwalimu..
Na mwingine nafikiri kazaa na Mbowe
Sijui kuhusu Halima..
Thread inahusu kutafuta facts
Sija ongea chochote as facts
Hujanielewa na ndo maana umekuwa defensive kana kwamba umekosolewa au umekuwa attacked.

Hujaona kama nimeuliza swali?

Kuuliza swali au maswali si ndo kutafuta facts zenyewe, au?

Na ndo maana nami nikauliza kama Halima Mdee naye ni mke wa mtu, maana umeuliza kuhusu wote hao 19? Au hujauliza?

Ndo nami nikauliza kama Halima naye yuko kwenye holy matrimony!

Maana nijuavyo, hayuko kwenye ndoa. Lakini yawezekana nikawa nina taarifa za uongo.

Hujayaona maswali yangu?
 
Ndo maana nilisema kama nimekuelewa
In short nimewahi sikia ameolewa
Au amezaa na mwanaume
But sijui facts zikoje...
 
Hayo maswali yako bhana .. anyway, binafsi napenda ijadiliwe hoja, sio mambo ya chumbani.
 
Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema
  • Anatropia - J Mrema
  • Esther Matiko - Salum Mwalimu
  • Hawa Bananga - Ali Bananga
Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba

Esta kaolewa lakin kumbuka
 
Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??

Yes wengi hapo ni wake za hawa viongozi akiwemo hawara yake mbowe jesca kishoa

Wanavunga tu
 
Back
Top Bottom