The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
Kwa kifupi tu ni kuwa, SIO KWELI kuwa wanawake hawa wote 19 ni wake wa viongozi...
Hata kwa kutumia COMMON SENSE tu kufikiria bila hata kupata maelezo kwa mtu wa pili au watatu, hili haliwezekani likawa hivyo...!!