Naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii

Na kwa nchi zetu mtu anataka kuminimize cost kwa kujua na kufanya kila kitu, specialisation ni kama haifanyi kazi ktk mifumo yetu na ujio wa akili bandia (AI) ndo kabisaa unazidi kuua elimu zetu za kuunga unga na za kukariri
Uaandikaji wa Business plan sio jambo la kitoto bila kuwa na taarifa kamili za biashara au eneo unalotaka kufanyia biashara itakuwa ni changamoto sana
 
Suka dread locks, ongea ongea vingereza vingi, nenda kahangout sehemu zenye watasha kamata wakwako mmoja mpe tour around the town/city you are in halafu kaa kitaalam tu uje na idea yako ya tour company umueleze utakua umemaliza hiyo manenoz haina haja aya kukaa na kuandika proporsal mkuu. Ukishavuta cruizer mbili tatu usisahau kurudi na kunishukuru kwa kukupa utaalam. Zingatia usije ukaingia mkenge ukakubali kwenda nae kwao utaishia kua housegirl mzee ulee watoto ukisubiri aende kazini, unyama fanya show yote hapa ukienda kwao unasalimia unafanya marketing unarudi zako Tz, tofauti na hapo utakua umeyatimbaa.
 
Tumia akili yako na ufahamu wako kulingana na mazingira halafu changanya na akili bandia.
Ukitumia akili bandia pekee ni rahisi mtu kugundua na hivyo inakosa uhalisia.
 
Uaandikaji wa Business plan sio jambo la kitoto bila kuwa na taarifa kamili za biashara au eneo unalotaka kufanyia biashara itakuwa ni changamoto sana
Ni kweli..mimi ni mmojawapo mwenye shughuli hizo za uandishi wa miradi yoyote..ila tunakumbana na UJUAJI mwingi wa wateja..mara atacopy na kupaste BP ya mtu, kuna mtu alikuwa serious kabisa nikampa na gharama na mchakato wote....akasema anataka kujua umahiri wangu kwahiyo nimpe japo kazi moja ..aisee nikampa ndo ikawa mazima..siku akajichanganya kumbe kaenda kuedit kazi yangu ifit kwake...anyway mhimu ni kuwa ANDIKO lolote la mradi ni nyenzo mhimu sana kwa mustakabali wa mradi husika sasa na badae. Ukiandikiwa haina maana kuwa mwenye mradi ni mbumbumbu ila umeamua mtu afanye bila kupendelea aspect yoyote..na usipende eti business plan mfano siku moja tu iwe tayari..hapana..uandishi huo ni process, unahitaji data zote mhimu
 
Naelewa Mkuu, sasa hukuchukua hata advance?
 
Sikuchukua alitaka aone kazi mojawapo ili aamini ...kumbe alitaka kivingine...ndio mana kwasasa mtu asiniambie aone kazi nilizofanya...mhimu yeye alete maswali yake ya anachotaka kufahamu kuhusu ninachoweza kufanya ..la kama hajui basi aniachie na aniamini mimi nimejinasibu nafanya kazi hizo....ni za "kishule" means kama sijui sio rahisi kujitangaza, sio kazi ya kila mtu kufanya..inataka kila wakat unapeluze, unasoma, unatafuta data..wengi wavivu ktk hili..pia mwisho wa kazi natakiwa kumpa Summary kwa lugha rahis kilichoandikwa...
 
Mkuu naomba uni PM mawasiliano/email yako utasaidia kuniandikia BP siku moja Mimi na rafiki yangu
 
Back
Top Bottom