nianze kwa kushukuru uongozi wa JF kwa kunipa nafasi ya kujiunga na mtandao huu wenye kutembelewa na watu wengi nadni na nje ya Tanzania.
pia naombeni ushirikiano wenu na mimi nitakuwa tayari kutoa ushirikiano wangu kwa kutoa mchango katika mada mbalimbali kadri ya ufaham na uzoefu wangu.
kwa leo naishia hapa. Naomba mnipokee.
Ahsanteni!
Habari za mihangaiko ya kila siku wana jf nimekua nikifuatilia sana mijadala mbalimbali inayojadiliwa humu, nimevutiwa na kila kitu kinachofanyika ndani humu hasa changamoto.mbalimbali. Naomba kupokelewa na mie nijifunze mapya nisioyajua hodi hodi wana jf
Karibu karibu sana mpaka chumbani. Hapo kwenye fridge pembeni kuna vinywaji mbali mbali ikiwemo togwa na vitafunwa vya aina mbali mbali. Jichane kwa raha zako kabla ya kuanza rasmi kuchangia katika mijadala mbali mbali.